Vanessa Mdee a.k.a Vee Money amekuwa mwanamuziki wa pili Tanzania kupata akaunti ya VEVO kwaajili ya kuweka video zake.
VEVO ni mtandao mkubwa namba moja duniani unaohusika kuhifadhi na
kurusha kazi za wanamuziki maarufu duniani kama kina Nicki Minaj,
Beyonce, Jay Z na wengine.
Gosby ndiye alikuwa msanii wa kwanza wa kizazi kipya kupata akaunti
kwenye mtandao huo unaomilikiwa na
↧