Ngono, bangi ‘nje nje’ mgodini Ihanzutwa
Wengi huisikia dhahabu, sifa zake na thamani yake. Wenye fedha zao hununua vidani vya madini hayo adimu ulimwenguni na kujirembesha, lakini wale maskini hujikuta wakivaa vidani yaliyotiwa tu nakshi ya...
View ArticleChuchu Hans Afungukia madai ya kuachana na Mpenzi wake Vicent Kigosi ‘Ray’
Staa wa Filamu Bongo, Chuchu Hans juzikati alifungukia madai ya kwamba ameachana na mchumba wake Vicent Kigosi ‘Ray’, akaeleza kuwa, hakuna ukweli wowote juu ya hilo. Chuchu alifikia uamuzi wa...
View ArticleJina la Kajala Kuonekana Kwenye Soda za Kopo za Coca-Cola
Mwigizaji wa filamu mwenye sura ya upole na umbo la Kiafrika, Kajala Masanja ni moja kati ya watu ambao majina yao yataonekana kwenye makopo mapya ya kinywaji cha Coca-cola. Jana mchana,...
View ArticleMtoto afariki kwa kunywa pombe yenye sumu Singida
Mtoto mmoja mwenye umri wa mwaka mmoja amefariki dunia baada ya kunywa pombe ya kienyeji aina ya Mtukulu inayosadikiwa kuwa na sumu mkoani Singida. Kamanda wa Polisi Mkoani Singida ACP Thobias...
View ArticleRais Kikwete Awataka Viongozi wa Dini Waendelee Kuliombea Amani Taifa
Rais Jakaya Kikwete amewaomba viongozi wa madhehebu ya dini kuendelea kuliombea taifa na watanzania kwa ujumla ili waweze kukabiliana na majukumu mengi na makubwa yaliyoko mbele yao kwa amani na...
View ArticleKafulila: watimueni kabla ya Bunge
Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila amesema kuna kila sababu wahusika wote wa sakata la uchotwaji Sh306 bilioni kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow, wawe wamefukuzwa kazi kabla ya...
View ArticleAskari waliosababisha kifo Serengeti kubanwa
Polisi mkoani Mara imesema itawachukulia hatua askari watakaobainika kuhusu katika kifo cha Samson Nyakiha (70) baada ya uongozi wa jeshi hilo kukutana na ndugu wa marehemu waliotelekeza maiti katika...
View ArticleLowassa asema kulinda amani ni jukumu la wote
Waziri mkuu mstaafu, Edward Lowassa amesema hakuna mtu yeyote mwenye hatimiliki ya Tanzania hivyo Watanzania wote wanao wajibu wa kuilinda na kudumisha amani na utulivu uliopo. Akitoa salamu...
View ArticleMbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' Anusurika Kufa katika Ajali ya...
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Chadema) amenusurika kifo baada ya kupata ajali katika Milima ya Kitonga, Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa. “Shetani amefeli, Mungu ni mwema. Tuko salama mimi...
View ArticleWafanyabiashara wa nyama Bukoba wagoma
Wafanyabiashara wa mifugoa mjini Bukoba wamegoma kuchinja mifugo yao na kutofungua mabucha wakilalamikia kuamrishwa na serikali kupunguza bei ya nyama kutoka shilingi 5,000 hadi 4,000 kwa kilo....
View ArticleMagari 150 Tanzania yazuiwa kuingia Kenya
MAGARI zaidi ya 150 yanayofanya safari za kupeleka wageni na watalii maarufu ‘Shuttle’ kati ya jijini Arusha na Moshi kwenda katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyata nchini Kenya...
View ArticlePinda asema kauli yake ya wapigeni ilimaanisha amani
Neno “piga” lina maana ya “fanya kitendo cha kukutanisha vitu kwa nguvu, fumua, ezeka, zaba, shambulia, chapa na tandika” kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili Sanifu, Oxford, lakini kwa Waziri Mkuu...
View ArticleWazungu Wazidi Kukaza Kamba Kashfa ya Escrow......Mabalozi wasema...
Licha ya Rais Jakaya Kikwete kutoa ufafanuzi wa sakata la uchotaji fedha kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa Benki Kuu na kutangaza kuchukua hatua dhidi ya baadhi ya viongozi na watendaji, nchi...
View ArticleRais Kikwete Aongoza kikao cha kamati kuu ya CCM Mjini Unguja leo
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mjumbe wa Kamti Kuu ya CCM Taifa Dk.Mohammed Gharib Bilali wakati alipowasili...
View ArticleLulu: Mapedeshee ndiyo wanawalipa wasanii wa kike siyo filamu
ELIZABERTH Michael‘ Lulu’ amefunguka kuwa wasanii wa kike wa filamu wana biashara nyingine iliyojificha ndani ya ile ya filamu ambayo inawalipa zaidi. Lulu amepasua kuwa wasanii hao wanawategemea...
View ArticleMonalisa: Taratibu tunatoboa kimataifa
Muigizaji wa filamu hapa Bongo, Yvone Cherry maarufu kama Monalisa, amesema kuwa milango ya kufanya kazi za filamu kimataifa imeanza kufunguka, akiwa tayari na project aliyofanya na timu kutoka...
View ArticleIrene uwoya- Nataka kutambulika nje ya Nchi kuliko Tanzania
Katika kile kinachoonekana waigizaji wa kike kutaka kukuza tasnia ya uigizaji kwa kuvuka mipaka ya nchi, mwigizaji Irene Uwoya amesema kuwa anataka atambulike nje ya nchi kuliko ndani. Akiweka hoja...
View ArticleShamsa: Nalala na Mume Wangu Nikiwa Kambini
Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford ambae ameolewa na ana mtoto mmoja, amesema kuwa mara kadhaa anapokuwa kambini akishuti filamu mume wake, Dickson Matoke huwa anamfuata na kulala naye hadi...
View ArticleUtafiti: Matangazo ya barabarani yenye wasichana waliovaa kimitego...
Matangazo ya barabarani (billboards) yenye picha za wanawake waliovaa nguo za mitego huwachanganya madereva na yanaweza kusababisha ajali, utafiti umesema. Watafiti kwenye chuo kikuu cha Alberta...
View ArticleVanessa Mdee awa msanii wa pili Tanzania kuwa na akaunti ya VEVO, baada ya...
Vanessa Mdee a.k.a Vee Money amekuwa mwanamuziki wa pili Tanzania kupata akaunti ya VEVO kwaajili ya kuweka video zake. VEVO ni mtandao mkubwa namba moja duniani unaohusika kuhifadhi na kurusha kazi...
View Article