Waziri mkuu mstaafu, Edward Lowassa amesema hakuna mtu yeyote
mwenye hatimiliki ya Tanzania hivyo Watanzania wote wanao wajibu wa
kuilinda na kudumisha amani na utulivu uliopo.
Akitoa
salamu wakati wa ibada ya kumweka wakfu Mchungaji Solomon Massangwa kuwa
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi
ya Kaskazini Kati, Arusha jana, Lowassa alisema amani
↧