Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Chadema) amenusurika
kifo baada ya kupata ajali katika Milima ya Kitonga, Wilaya ya Kilolo
mkoani Iringa.
“Shetani amefeli, Mungu ni mwema. Tuko
salama mimi na wote niliokuwa nao kwenye gari,” alisema mbunge huyo
anayejulikana zaidi kwa jina la Sugu, katika ujumbe alioutuma kwenye
ukurasa wake wa facebook.
Akizungumza kwa simu
kutoka
↧