Polisi mkoani Mara imesema itawachukulia hatua askari
watakaobainika kuhusu katika kifo cha Samson Nyakiha (70) baada ya
uongozi wa jeshi hilo kukutana na ndugu wa marehemu waliotelekeza maiti
katika Kituo cha Polisi cha Wilaya.
Kamanda wa
upelelezi wa makosa ya jinai wa mkoa, RCO Rogathe Mlasani alitoa ahadi
hiyo katika kikao cha pamoja cha ndugu na uongozi wa polisi wa Wilaya ya
↧