Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David
Kafulila amesema kuna kila sababu wahusika wote wa sakata la uchotwaji
Sh306 bilioni kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow, wawe wamefukuzwa kazi
kabla ya kuanza kwa mkutano ujao wa 18 wa Bunge.
Pia, amesema fedha zilizochotwa zirejeshwe kama ilivyokuwa katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) na wafikishwe mahakamani.
Akihutubia
mamia ya
↧