Rais
Jakaya Kikwete amewaomba viongozi wa madhehebu ya dini kuendelea
kuliombea taifa na watanzania kwa ujumla ili waweze kukabiliana
na majukumu mengi na makubwa yaliyoko mbele yao kwa amani
na utulivu likiwemo la kupata katiba mpya.
Katika salam zake kwenye hafla ya kumsimika Askofu Solomon
Masangwa wa Dayosisi ya Kaskazin Kati
↧