Mtoto mmoja mwenye umri wa mwaka mmoja amefariki dunia baada ya kunywa
pombe ya kienyeji aina ya Mtukulu inayosadikiwa kuwa na sumu mkoani
Singida.
Kamanda
wa Polisi Mkoani Singida ACP Thobias Sedoyeka amethibitisha kutokea kwa
tukio hilo lililotokea majira ya saa 3 asubuhi siku ya Alhamisi tarehe
08 Januari, 2015 na kusema kuwa mama wa mtoto amelazwa katika hospitali
ya Makingu
↧