Mwigizaji wa filamu mwenye sura ya upole na umbo la Kiafrika, Kajala
Masanja ni moja kati ya watu ambao majina yao yataonekana kwenye makopo
mapya ya kinywaji cha Coca-cola.
Jana mchana, wawakilishi wa coca-cola walimtembelea Kajala nyumbani
kwake na kumpatia zawaidi ya kinywaji hicho kikiwa kwenye chupa yenye
jina lake.
Endelea kuwa nasi kujua kinanani wengine wamebahatika
↧