Staa wa Filamu Bongo, Chuchu Hans juzikati
alifungukia madai ya kwamba ameachana na mchumba wake Vicent Kigosi
‘Ray’, akaeleza kuwa, hakuna ukweli wowote juu ya hilo.
Chuchu alifikia
uamuzi wa kufafanua juu ya madai hayo juzi kufuatia tetesi zilizokuwa
zimeenea kwamba yeye na kipenzi chake huyo wametibuana na sasa kila mtu
kimpango wake.
Akifungukia juu ya uvumi huo Chuchu
↧