Wengi huisikia dhahabu, sifa zake na thamani yake. Wenye fedha
zao hununua vidani vya madini hayo adimu ulimwenguni na kujirembesha,
lakini wale maskini hujikuta wakivaa vidani yaliyotiwa tu nakshi ya
madini hayo, huku asilimia kubwa vikiwa vimetengenzwa kwa bati.
Mbali
ya wenye fedha kidogo, wapo baadhi ambao maisha yao yote hutegemea
‘kupiga roba’ watu waliovaa vidani hivyo ili
↧