Wanachama 11 wa Chama cha Wananchi (CUF), Chama cha Demokrasia
na Maendeleo (Chadema) na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamefikishwa katika
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya kujeruhi,
kuwatishia na kuwazuia maofisa wa polisi kutekeleza majukumu yao.
Watu
hao wanadaiwa kufanya vurugu kwa nyakati tofauti wakati wa uapishwaji
wa wenyeviti wa Serikali za Mitaa katika
↧