Kenge 149 wanaswa Uwanja wa Ndege Dar Wakitoroshwa nje ya nchi
Jeshi la Polisi la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA)linamshikilia raia wa Kuwait kwa tuhuma za kukutwa na viumbe hai aina ya Kenge 149 wenye thamani ya Sh 6.3 milioni. Kamanda...
View ArticleWashtakiwa wa Ugaidi wapangiwa hakimu mwingine
Kesi ya ugaidi inayowakabili viongozi 23 wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu sasa kusikilizwa na Hakimu Mkazi Janeth Kaluyenda....
View ArticleWaziri Mkuu Pinda Akanusha kuhusika na Ufisadi wa Sukari.....Asema...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amekanusaha tuhuma mbalimbali zinazotolewa dhidi yake kupitia mitandao ya kijamii kuwa anahusika na kashfa ya uingizaji wa sukari kutoka nje ya nchi ambayo inadaiwa kumpatia...
View ArticleNyama ya mbuzi yamkwama kooni, afa, mke aburuzwa kortini
Mkazi wa kijiji cha Nakachindu kata ya Mkundi Halmashauri ya wilaya ya Masasi, Asumini Bakiri (39) amefikishwa mahakamani kujibu shitaka la mauaji linalomkabili la kumuua mumewe, Simoni Simoni (45)....
View Article"Panya road" 1,289 Watiwa Mbaroni Dar
Idadi ya vijana wanajihusisha na kundi la uhalifu maarufu kama ‘panya road’ imeongezeka na kufikia 1,289 kwa mikoa yote mitatu mkoani Dar es Salaam. Kati yao vijana 163 toka katika manispaa za...
View ArticleWatu wanne Wafariki Dunia, 20 wajeruhiwa Vibaya katika Ajali ya Basi Iringa
Watu wanne wamefariki dunia papo hapo na wengine 20 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la abiria la Panuel Express kugongana uso kwa uso na lori. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhani Mungi,...
View ArticleAskari Polisi Mbaroni akidaiwa Kubaka Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza Shinyanga
Kamanda wa polisi mkoani Shinyanga, Justus Kamugisha **** Askari polisi wa kituo kikuu cha Shinyanga aliyefahamika kwa jina moja la Alex, amewekwa korokoroni akituhumiwa kumbaka mwanafunzi wa kidato...
View ArticleBaada ya Kupiga Show ya Nguvu Nigeria usiku wa leo, Diamond kasema haamini...
Staa Afrika Mashariki, Nasibu Abdul ‘Diamond’, amefunguka kwamba haamini kama kweli amepata nafasi ya kutumbuiza kwenye sherehe za utoaji tuzo za wanamichezo bora zilizoandaliwa na Shirikisho la Soka...
View ArticleTaarifa kwa Umma kuhusu vikao vya Kamati za Bunge Januari 2015
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anawatangazia Waheshimiwa Wabunge wote, wadau na umma kwa ujumla kuwa Kamati za Kudumu za Bunge zitaanza vikao vyake tarehe 13 hadi 23 Januari 2015....
View ArticleRay C akanusha kuirudia Bangi na Madawa ya Kulevya.....Asema watu wanataka...
Rehema Chalamila aka Ray C amekanusha taarifa zilizoandikWa na gazeti moja la udaku nchini kuwa ameacha kuendelea na matibabu ya methadone na kurejea kutumia madawa ya kulevya. Amedai kuwa watu hao...
View ArticleJe, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa...
Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa mbalimbali za asili. Tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa tunayo dawa nzuri ya asili inatibu na kuponyesha...
View ArticleCCM yalaani vurugu zilizofanywa na Wapinzani wakati wa kuapishwa kwa...
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimelaani vikali vurugu zilizofanywa na wafuasi wa Chadema na CUF kwa viongozi wa serikali za mitaa katika maeneo kadhaa nchini ikiwemo mikoa ya Mwanza, Dar es Salaam na...
View ArticleJeshi la polisi latoa onyo kwa wananchi ambao wamekuwa wakifanya fujo katika...
Jeshi la polisi nchini limetoa onyo kwa baadhi ya wananchi ambao wamekuwa wakifanya fujo katika zoezi la uapishwaji viongozi wa Serikali za mitaa kwa madai kuwa hawakushinda kihalali katika uchaguzi...
View ArticleCCM yavitaka vyombo vinavyoshughulikia sakata la Tegeta Escrow kuchukua hatua.
Chama cha mapinduzi CCM kimevitaka vyombo vinavyotakiwa kuchukuwa hatua dhidi ya watuhumiwa wa sakata la Tegeta Escrow baada ya bunge kumaliza jukumu lake vitimize wajibu wao kwa wakati kwa kuchukuwa...
View ArticleBilion 3 kutengwa kumaliza tatizo la "Panya Road"
Wizara ya Kazi na Ajira nchini Tanzania itatenga shilingi Bilioni 3 za kitanzania kwa ajili ya mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana ili waweze kujiajiri na kujiinua kiuchumi na kuachana na kukaa...
View ArticleCUF yamtaka waziri Ghasia kuachia ngazi
Chama cha wananchi CUF kimemtaka waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Hawa Ghasia kuachia ngazi kwa kusababisha vurugu katika zoezi la kuapisha wenyeviti wa serikali za mitaa nchini. CUF...
View ArticleWalimu 200 Wavamia Ofisi ya Mkurugenzi Dar
ZAIDI ya walimu 200 wa shule za msingi na sekondari za Manispaa za Kinondoni, Dar es Salaam jana wameandamana hadi katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa hiyo wakitaka kutekelezewa madai mbalimbali...
View ArticlePolisi Ufaransa Yaua Washukiwa wa Shambulizi la Charlie
Makomandoo wakirusha mabomu sambamba na moto katika Glosary kabla ya kumkabili mtekaji, Amedy Coulibaly. Picha ikiwaonyesha maofisa polisi wakiwa wameuzunguka mwili wa mtekaji, Amedy Coulibaly. Baadhi...
View ArticleMeseji ya Wolper Yatibua Uchumba wa Nay wa Mitego
Mwigizaji Jacqueline Wolper ameibua tafrani la aina yake kwa Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ baada ya kumtumia meseji iliyomtia shaka mpenzi wa staa huyo, Siwema. Tukio hilo...
View Article"Mikikimikiki ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa"......Wanachama 11 wa CUF...
Wanachama 11 wa Chama cha Wananchi (CUF), Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya kujeruhi,...
View Article