Muigizaji wa filamu hapa Bongo, Yvone Cherry maarufu kama Monalisa,
amesema kuwa milango ya kufanya kazi za filamu kimataifa imeanza
kufunguka, akiwa tayari na project aliyofanya na timu kutoka Marekani,
Daddy's Wedding itakayotoka Februari 14.
Monalisa amesema kuwa, mbali na kazi hii, ana project nyingine na
timu kutoka UK kati ya nyingine ambazo zinaonesha kuwa taratibu sanaa
hii
↧