Katika kile kinachoonekana waigizaji wa kike kutaka kukuza
tasnia ya uigizaji kwa kuvuka mipaka ya nchi, mwigizaji Irene Uwoya
amesema kuwa anataka atambulike nje ya nchi kuliko ndani.
Akiweka hoja yake sawa, mwanadada huyo anayedaiwa kuendelea kuwa
na mvuto katika tasnia ya filamu alisema anajua kuwa siyo jambo rahisi
kufanya vizuri nje ya nchi, lakini huko ndiko anakotaka kufika,
↧