Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford ambae ameolewa na ana
mtoto mmoja, amesema kuwa mara kadhaa anapokuwa kambini akishuti filamu
mume wake, Dickson Matoke huwa anamfuata na kulala naye hadi asubuhi
huku akiamini kufanya hivyo kunachangia kutochepuka.
Akizungumza na Uwazi, Shamsa alisema kuwa kitendo cha mumewe kumfuata
haina maana kwamba wanavunja sheria zao bali hilo
↧