ELIZABERTH Michael‘ Lulu’ amefunguka kuwa wasanii wa kike wa filamu
wana biashara nyingine iliyojificha ndani ya ile ya filamu ambayo
inawalipa zaidi.
Lulu amepasua kuwa wasanii hao wanawategemea mapedejshee kuendesha
maisha yao huku wengi wakiamini kwamba mabinti hao wa Bongo Movie
wanalipwa vizuri kutokana na filamu wanazoigiza.
“Ukweli hauko hivyo, hali hii inatokana na wengi
↧