Naibu Katibu Mkuu wa CCM
Zanzibar Vuai Ali Vuai akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania pia Mjumbe wa Kamti Kuu ya CCM Taifa Dk.Mohammed
Gharib Bilali wakati alipowasili Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini
Unguja leo katika Kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya CCM Taifa chini ya
Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya
Mrisho Kikwete.
↧