MAGARI zaidi ya 150 yanayofanya safari za kupeleka wageni na watalii maarufu ‘Shuttle’ kati ya jijini Arusha na Moshi kwenda katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyata nchini Kenya yamezuiliwa kuingia katika uwanja huo toka Desemba 22 mwaka jana.
Uamuzi huo wa serikali ya Kenya unataka kuishinikiza Serikali ya Tanzania kutaka lango la Bologonja lililofungwa toka enzi za utawala
↧