Mfalme wa Auto-Tune, T-Pain kutoka Marekani anatarajia kuja Tanzania
mwezi ujao na kutumbuiza jijini Mwanza, kwenye tamasha la uzinduzi wa
radio mpya iitwayo Jembe Fm ya jijini humo.
T-Pain ambaye jina lake halisi ni Faheem Rashad Najm, hatakuwa peke
yake kwenye tamasha hilo lililopewa jina la Step Up, bali atakuwa na
msanii mwenyeji wake Diamond Platnumz. Show hiyo itafanyika February
↧