Mtu asiyejulikana amehack namba ya Tigo ya AY na kuanza kuwaomba mamilioni watu wake wa karibu.
AY ambaye kwa sasa yupo jijini Nairobi, Kenya, amesema kuwa
anashangaa kugundua kuwa namba yake ya simu inapatikana wakati chip
anayo yeye na haipo kwenye simu.
Fundi Frank ni miongoni mwa marafiki wa AY walioombwa fedha na mtu huyo
Kuna mtu amehack namba yangu ya Tigo anaomba watu pesa
—
↧