Members wa kundi la Bracket ambao hivi karibuni wamemshirikisha staa
wa Tanzania, Diamond Platnumz kwenye wimbo wao mpya, wamekanusha uvumi
uliosambaa Nigeria kuwa wao ni mashoga.
Kwa mujibu wa Naij.com, members wa kundi hilo Smash na Vast
waliiambia SaturdayBeats kuwa mwanzoni baada ya kuzisikia taarifa hizo
waliamua kukaa kimya kwa sababu ni za uongo.
“Sisi hatukutaka
↧