Hizi ni zawadi za vinywaji vya Coke vyenye majina ya watu mashughuri
wa hapa bongo kutoka kampuni ya coca-cola.
Jana waigizaji, Wema
Sepetu, Aunty Ezekiel na Shilole nao walipokea zawadi za vinywaji
hivyo vya coke baada ya kutembelewe na wawakilishi kutoka kampuni hiyo
ambapo majina ya wasanii hao yakiwa yameandika kwenye makopo ya
vinywaji hivyo.
Jionee picha zao hapo
↧