WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
aliyeondolewa ofisini hivi karibuni kutokana na sakata la Tegeta Escrow,
Anna Tibaijuka, hivi karibuni amenaswa akiwatembelea watu wanaosadikiwa
kuwa wapiga kura wake jimboni Muleba mkoani Bukoba akiwa pekupeku.
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali, vikiwemo mitandao ya kijamii, Waziri
huyo Profesa, ameamua kuwafuata wapiga kura wake popote
↧