Tarehe 13/01/2015 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
chini ya uongozi wa Mwenyekiti wake wa Taifa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete
ilifanya kikao chake cha kawaida cha siku moja Kisiwandui Mjini
Zanzibar. Pamoja na mambo mengine baadhi ya mambo yaliyojadiliwa na
Kamati Kuu ni pamoja na:-
1. SAKATA LA AKAUNTI YA ESCROW
Chama Cha
Mapinduzi kimesikitishwa sana na sakata hili.
↧