Wanafunzi 84 wa Chuo Kikuu UDOM wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuhamasisha uvunjifu wa amani chuoni hapo.
Wanafunzi hao walikamatwa wakifanya maandamano kutoka chuoni hapo kuelekea katika ofisi mbalimbali za viongozi wa Serikali zilizopo Dodoma mjini majira ya saa kumi na moja alfajiri.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, David Misime alisema wahusika wa vurugu hizo ni wanafunzi
↧