Maazimio ya Kamati kuu CCM kwenye Kikao Z’bar haya hapa, Escrow, ishu ya...
Tarehe 13/01/2015 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa chini ya uongozi wa Mwenyekiti wake wa Taifa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete ilifanya kikao chake cha kawaida cha siku moja Kisiwandui Mjini...
View ArticleWanafunzi 84 UDOM Watiwa Mbaroni
Wanafunzi 84 wa Chuo Kikuu UDOM wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuhamasisha uvunjifu wa amani chuoni hapo. Wanafunzi hao walikamatwa wakifanya maandamano kutoka chuoni hapo kuelekea katika...
View ArticleSakata la Escrow: Vigogo Wawili Wapandishwa Kizimbani, Tibaijuka, Regemalila...
SAKATA la uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow, limeanza kuchukua sura mpya baada ya Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), kuwafikisha mahakamani vigogo...
View ArticleMsafara wa Waziri Muhongo wazomewa Kahama......Wananchi Wapaza Sauti...
WAZIRI wa nishati na madini Mhe. Sospeter Muhongo amejikuta katika wakati mgumu na msafara wake baada ya kuzomewa na wananchi wa soko la wakulima katikati ya mji wa Kahama wakati akitokea kwenye ziara...
View ArticleKesi ya Chid Benz Yapigwa Kalenda hadi January 21 Mawaka huu
KESI inayomkabili mwanamuziki wa Hip hop nchini, Rashid Makwiro ’Chid Benz’, imeahirishwa tena leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam mpaka Januari 21, mwaka huu....
View Article"Kuwazuia Waganga wa JADI sio suluhu ya Mauaji ya Albino" -Kowo
Mwenyekiti wa chama cha watu wenye ulemavu wa ngozi (TAS) mkoani Dodoma, Ludovick Kowo amesema kitendo cha serikali kupiga marufuku waganga wa kienyeji wanaopiga ramli ili kuepusha mauaji ya albino...
View ArticleBilion 1.7 zatafunwa Dar es salaam
Kamati ya bunge ya hesabu za serikali za mitaa (LAAC) imebaini ufisadi wa zaidi ya shilingi Bilioni 1.7 katika jiji la Dar es Salaam na kuiagiza TAMISEMI kufuatilia kashfa hiyo. LAAC imebaini ufisadi...
View ArticleMfanyabiashara auawa kwa risasi Bunda
Mfanyabiashara wa kuuza samaki, Mkome Marwa (39) wa mtaa wa Nyasura wilayani Bunda, ameuawa na watu wasiojulikana baada ya kupigwa risasi njiani akiwa na mke wake, huku mwingine akijeruhiwa katika...
View ArticleRais Kikwete ahudhuria sherehe za kuapishwa Rais wa Msumbiji
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amewasili Maputo, mji mkuu wa Mozambique, usiku wa Jumatano, Januari 14, 2015, kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais mpya wa nchi hiyo, Mheshimiwa Filipe Jacinto Nyusi....
View ArticleMiili ya waliofukiwa kifusi mgodini yaopolewa
Hatimaye wachimbaji wote watatu waliokufa kwa kufukiwa na kifusi cha jabali katika mgodi wa dhahabu wa Onesmo Goldmine Mawemeru uliopo katika kijiji cha Nyalugusu Wilayani Geita imeopolewa jana usiku...
View Article"Panya Road" 119 waachiwa kwa kukosekana ushahidi 959 wafikishwa mahakamani
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam limewaachia huru vijana 119 wanaodaiwa kujihusisha na vitendo vya kihalifu maarufu kama ‘panya road’ baada ya kukosekana kwa ushahidi wa kutosha....
View ArticleMkuu wa Mkoa wa Dodoma akerwa na tabia ya wananchi wa mkoa huo kujigeuza...
MKUU wa mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa ametaka wananchi wa mkoa wa Dodoma kuachana na tabia yenye aibu ya kuomba chakula wakati wana fursa za kuzalisha chakula cha kutosha, kujikimu mwaka mzima na ziada...
View ArticleWalinzi wavunja ofisi waiba fedha, bunduki
POLISI mkoa wa Shinyanga inawasaka walinzi wawili wa Kampuni ya Prosper Security Guard wakituhumiwa kuvunja ofisi ya Jambo Oil Mill and Ginnery Limited kisha kuiba fedha Sh milioni 1.07 na kutoweka na...
View ArticleWafanyakazi TAZARA Wasota Mahakamani kusubiri Hukumu
Sakata la mgomo wa wafanyakazi 1,500 wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), ulioingia katika siku ya sita, limechukua sura mpya baada ya wafanyakazi hao waliofunguliwa kesi katika...
View ArticleKinana awataka wazanzibari kuikubali Katiba
Watanzania wametakiwa kuisoma na kuielewa vyema Katiba Inayopendekezwa na Bunge Maalumu la Katiba na muda ukifika kuipigia kura ya ndiyo kwani imebeba mambo mengi yenye manufaa kwa wananchi wa pande...
View ArticleMwanamke auawa kwa kukatwa mapanga
MKAZI wa mtaa wa Kitwana kata ya Busoka wilayani Kahama mkoani Shinyanga Regina Shija (55) ameuawa kwa kukatwakatwa mapanga kichwani na watu wasiojulikana kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa Kimapenzi....
View Article"Kuweni makini na wanaotangaza urais mapema"- Askofu
ASKOFU wa Kanisa la Tanzania Field Evangilism (TFE) la Mjini Shinyanga, Edsoni Mombeki amewatahadharisha wananchi kuwa makini na viongozi wanaotangaza nia mapema ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu...
View ArticleKanisa Lachomwa Moto Mkoani Kigoma.......Mali zote zateketea
Watu wasiojulikana wamelichoma moto na kuliteketeza Kanisa la Evangelical Assemblies of God wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma na kuteketekeza kila kitu kilichokuwemo ndani ya kanisa hilo. Mkuu wa Wilaya...
View ArticleVinara wa Maandamano UDOM Watimuliwa......Waziri mkuu ( Mwakibinga )...
Wanafunzi watatu ambao wanatuhumiwa kuwa vinara wa maandamano ya wanafunzi wa programu maalumu ya walimu wa sayansi Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wameachishwa masomo. Wakati mmoja wao akiwa amefukuzwa...
View ArticleBei za Petroli na Dizeli Kushuka zaidi March Mwaka huu
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imebainisha kuwa hadi kufikia Machi mwaka huu, bei ya mafuta nchini itaendelea kushuka kulingana na kushuka kwa bei ya mafuta katika soko la dunia. Hata...
View Article