MKAZI wa mtaa wa Kitwana kata ya Busoka wilayani Kahama mkoani Shinyanga
Regina Shija (55) ameuawa kwa kukatwakatwa mapanga kichwani na watu
wasiojulikana kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa Kimapenzi.
Afisa
mtendaji wa Mtaa huo, Bw. Rafael Jumanne amesema kuwa tukio
hilo limetokea juzi majira ya saa 5.00 usiku ambao watu wasiofahamika
walivamia nyumbani kwa Regina akiwa anajiandaa
↧