ASKOFU
wa Kanisa la Tanzania Field Evangilism (TFE) la Mjini Shinyanga, Edsoni
Mombeki amewatahadharisha wananchi kuwa makini na viongozi wanaotangaza
nia mapema ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, kwa
kuhofia kupata viongozi wasio na sifa ambao baadaye wanaweza kuiyumbisha
nchi.
Ametoa tahadhari hiyo kanisani kwake, wakati akifunga maombi ya siku
tatu ya kuliombea
↧