Watanzania wametakiwa kuisoma na kuielewa vyema Katiba Inayopendekezwa
na Bunge Maalumu la Katiba na muda ukifika kuipigia kura ya ndiyo kwani
imebeba mambo mengi yenye manufaa kwa wananchi wa pande zote mbili za
muungano.
Katibu
mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Abdulrahman Kinana ametoa rai hiyo
kwenye wilaya ya mjini, wakati wa siku ya kwanza ya ziara yake ya siku
kumi kwenye
↧