SAKATA la uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye Akaunti ya
Tegeta Escrow, limeanza kuchukua sura mpya baada ya Taasisi ya Kupambana
na Kuzuia Rushwa (Takukuru), kuwafikisha mahakamani vigogo wawili wa
Serikali.
Vigogo hao, waliofikishwa Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam jana,
ni Mhandisi Mkuu wa Mradi wa Umeme Vijijini (REA), Theophillo Bwakea na
Mkurugenzi wa Huduma za
↧