WAZIRI wa nishati na madini Mhe. Sospeter Muhongo amejikuta katika
wakati mgumu na msafara wake baada ya kuzomewa na wananchi wa soko la
wakulima katikati ya mji wa Kahama wakati akitokea kwenye ziara yake
vijijini wilayani Kahama mkoani Shinyanga.
Tukio
hilo limetokea hivi karibuni wakati waziri huyo na msafara wake
wakitokea kata ya Bulungwa kwenye jimbo la Kahama kuelekea kata
↧