Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Meli Yazama na kuua Watu 14.....Basi Lapinduka na kuua watu Wanne

Watu 18 wamepoteza maisha katika ajali mbili tofauti, ambapo katika ajali ya majini meli iliyobeba shehena ya mahindi imezama na kuua watu 14, wakati katika ajali ya barabarani, basi kutoka Handeni...

View Article


Bandari kufuru tupu.....Wafanyakazi walipana Posho ya Laki 5 kwa siku tangu 2011

Wakati Msajili wa Hazina amebariki posho mpya za safari za ndani kwa wafanyakazi wa Mamlaka ya Bandari Nchini (TPA) kuwa Sh 500,000 kwa siku kuanzia Januari 2, mwaka huu, imebainika kuwa walishaanza...

View Article


Hali ni Tete kwa Vigogo Escrow.......Wengine waliopata Mgawo kupelekwa...

HALI inazidi kuwa tete kwa vigogo kadhaa wa Serikali juu ya sakata la uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, baada ya kuwapo taarifa kuwa wengi watafikishwa mahakamani....

View Article

Wanafunzi 84 UDOM wafikishwa mahakamani Dodoma

Wanafunzi 84 wa programu maalum ya stashahada ya ualimu katika Chuo Kikuu cha Dodoma(udom) waliofanya mgomo na kuandamana kushinikiza kulipwa madai yao, juzi wamepandishwa kizimbani kwa kosa la...

View Article

Mwili wa dereva wakutwa umenyongwa ndani ya gari

Mwili wa aliyekuwa dereva wa gari la mizigo Bw Ally Athumani Ally ambaye alikuwa akitafutwa na jeshi la Polisi kufuatia wizi wa milango umekutwa ndani ya gari alilokuwa anaendesha baada ya siku 4...

View Article


Rais Kikwete akutana na Kamati ya BRN

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete jana, Ijumaa, Januari 16, 2015, amekutana na kufanya mazungumzo na wajumbe wa Kamati Maalum Inayojitegemea Iliyofanya Tathmini...

View Article

Mahakama Yatangaza Mgomo wa TAZARA ni Batili......Wafanyakazi waamuriwa...

MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Kazi imewataka wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) kurudi kazini, huku ikiagiza mamlaka hiyo kutowakata fedha wafanyakazi hao katika kipindi chote...

View Article

Bomu Lajeruhi watu watano huko Tanga

WAKAZI watano wa kitongoji cha Mafuriko Amboni kilichopo jijini Tanga wamejeruhiwa vibaya sehemu mbalimbali za mwili baada ya kurushiwa bomu la kutupwa kwa mkono na mtu asiyejulikana wakati walipokuwa...

View Article


Watuhumiwa 3 wa mauaji wachomwa Moto na wanakijiji

WAKAZI wa kijiji cha Burunde kata ya Karitu wilayani Nzega mkoani Tabora, wamewapiga, kuwaua na kuwachoma moto watu watatu kwa tuhuma za kushiriki kumuua Helena Abel na kumjeruhi mume wake, Said...

View Article


Vijana Watatu wa Ubungo Kibangu wadai kuteswa na wanajeshi wa kambi ya Makoka

WANAJESHI wapatao wanane wanadaiwa kuwatesa na kuwapiga vijana watatu katika eneo la Ubungo Kibangu, Dar es Salaam pasipokuwa na sababu maalumu.   Wakizungumza na mwandishi wetu jana, vijana hao...

View Article

"Sina mpango wa kufanya kazi nyingine mbali na Kuigiza"....Lulu Michael

Binti  Mrembo  Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema katika maisha yake ya sanaa hataweza kufanya kazi nyingine mbali na kuigiza kama ambavyo wasanii wengine wanafanya.   Akiongea  na...

View Article

Chama cha TLP hatarini kufutwa.....Mrema Apewa Siku 4 za kujieleza

OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, imetoa siku nane kwa Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour (TLP) Augustino Mrema kutoa maelezo kuhusu tuhuma za kuendesha chama hicho kinyume na katiba....

View Article

Mume na mke watiwa mbaroni kwa mauaji ya mganga wa jadi

JESHI la Polisi mkoani Kagera linawashikilia watu tisa kwa tuhuma za mauaji katika matukio mawili tofauti wakiwemo mume na mke waliomuua mganga wa jadi.   Akizungumza na waandishi wa habari jana,...

View Article


Wapinzani wasema Watahakikisha wanafunzi waliofukuzwa UDOM wanarejeshwa

KAMBI rasmi ya upinzani bungeni imesema itawasaidia kwenye masuala ya kisheria wanafunzi waliofukuzwa kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kutokana na kuandamana kudai kupewa fedha za kujikimu....

View Article

Saluni ya Ngono Yafumuliwa jijini Dar......Wahudumu wake ni makahaba, mteja...

Wakati suala la ajira likiwa bado ni kitendawili kikubwa kwa serikali, Jiji la Dar hivi sasa linatisha, baada ya watu kubuni mtindo mpya wa kujipatia fedha kwa kujihusisha na biashara haramu ya ngono...

View Article


Sakata la Escrow: Vigogo wa BoT, TRA, Tanesco wapandishwa kizimbani

MKURUGENZI wa Fedha wa Benki Kuu, Julius Angello, Meneja wa Misamaha ya Kodi wa TRA, Kyabukoba Mutabingwa na Mwanasheria Mwandamizi wa Tanesco, Steven Urassa wamepandishwa kizimbani kwa tuhuma za...

View Article

Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili 2014....Ufaulu waongezeka kwa 3%, BOFYA...

Baraza la Mitihani la Taifa nchini Tanzania NECTA leo limetoa matokeo ya mtihani wa Taifa wa Kidato cha pili mwaka 2014 kwa wanafunzi waliofanya mtihani huo unaowapa fursa ya kuendelea na kidato cha...

View Article


Mapigano ya wakulima na Wafugaji: Mmoja Auawa, 14 Wajeruhiwa Vibaya

Mgogoro kati ya Wakulima na Wafugaji katika bonde la Mgongola , wilayani Mvomero mkoani Morogoro umeibuka tena na kusababisha kifo cha mkulima mmoja na wengine 14 kujeruhiwa.   Waliojeruhiwa wamekatwa...

View Article

Waislam na Wakristo Wafanya Kongamano la Amani......Wakubaliana Kutokashiana

VIONGOZI wa dini za Kiislamu na Kikristo nchini wamekubaliana kutoandaa mihadhara inayokashifu dini moja na nyingine, miongoni mwa madhehebu ya dini moja au kashfa baina ya waumini na waumini.   Lengo...

View Article

Makamanda wa mikoa mitatu ya Mwanza, Simiyu na Shinyanga wavunja Ngome hatari...

POLISI wa mikoa ya Mwanza, Simiyu na Shinyanga wamefanikiwa kusambatarisha mtandao wa ujambazi kwenye mikoa hiyo baada ya kukamatwa kwa mtuhumiwa wa ujambazi sugu, Njile Samweli (46) mkazi wa kijiji...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>