Mgogoro kati ya Wakulima na Wafugaji katika bonde la Mgongola , wilayani Mvomero mkoani Morogoro umeibuka tena na kusababisha kifo cha mkulima mmoja na wengine 14 kujeruhiwa.
Waliojeruhiwa wamekatwa sehemu mbalimbli za miili yao na mapanga na sime za wafugaji.
Kati ya wakulima waliojeruhiwa kwenye tukio hilo lilitokea jioni ya Januari 16, mwaka huu ni pamoja na aliyekuwa Kamanda wa
↧