Baraza
la Mitihani la Taifa nchini Tanzania NECTA leo limetoa matokeo ya
mtihani wa Taifa wa Kidato cha pili mwaka 2014 kwa wanafunzi waliofanya
mtihani huo unaowapa fursa ya kuendelea na kidato cha tatu.
Akisoma taarifa hiyo leo kwa waandishi wa habari katika ofisi za
NECTA jijini DSM, Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dkt Charles Msonde
amesema kiwango cha ufaulu kwa mwaka 2014
↧