MKURUGENZI wa Fedha wa Benki Kuu, Julius Angello, Meneja wa Misamaha
ya Kodi wa TRA, Kyabukoba Mutabingwa na Mwanasheria Mwandamizi wa
Tanesco, Steven Urassa wamepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kupokea
rushwa ya zaidi ya Sh bilioni mbili kutoka katika Akaunti ya Tegeta
Escrow.
Washtakiwa hao walipandishwa jana kizimbani katika Mahakama ya Hakimu
Mkazi Kisutu mbele ya mahakimu wawili
↧