Watu 18 wamepoteza maisha katika ajali mbili tofauti, ambapo katika ajali ya majini meli iliyobeba shehena ya mahindi imezama na kuua watu 14, wakati katika ajali ya barabarani, basi kutoka Handeni mkoani Tanga kwenda Dar es Salaam limeua watu wanne.
Katika ajali ya majini, Kamanda wa Polisi mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda alisema abiria 14 kutoka nchi jirani ya Burundi wanahofiwa kufa
↧