Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imebainisha kuwa hadi kufikia Machi mwaka huu, bei ya mafuta nchini itaendelea kushuka kulingana na kushuka kwa bei ya mafuta katika soko la dunia.
Hata hivyo, mamlaka hiyo imeonya kuwa bei hiyo ya mafuta nchini haitaweza kupungua kwa kiasi kikubwa, kutokana na kushuka kwa thamani ya Shilingi dhidi ya dola ya Marekani pamoja na kutokubadilika
↧