Wanafunzi 84 wa programu maalum ya stashahada ya ualimu katika Chuo
Kikuu cha Dodoma(udom) waliofanya mgomo na kuandamana kushinikiza
kulipwa madai yao, juzi wamepandishwa kizimbani kwa kosa la kukusanyika
bila kibali maalum.
Wanafunzi
hao ni wa programu maalumu katika masomo ya Sayansi, Hisabati na
Teknohama iliyoanza mwaka jana walifanya mgomo huo jana na kuandamana
kuelekea
↧