HALI inazidi kuwa tete kwa vigogo kadhaa wa Serikali juu ya sakata la
uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow,
baada ya kuwapo taarifa kuwa wengi watafikishwa mahakamani.
Iwapo leo vigogo ambao majina yao yamekuwa yakitajwa tangu juzi
watafikishwa mahakamani, wataongeza idadi baada ya juzi watumishi wawili
wa Serikali kufikishwa katika Mahakama ya Kisutu
↧