Mwili
wa aliyekuwa dereva wa gari la mizigo Bw Ally Athumani Ally ambaye
alikuwa akitafutwa na jeshi la Polisi kufuatia wizi wa milango umekutwa
ndani ya gari alilokuwa anaendesha baada ya siku 4 ukiwa umenyongwa na
kamba za kubebea mizigo mikubwa huku gari hilo likiwa limeegeshwa
kituoni hapo.
Kamanda wa polisi mkoa wa Ilala SACP Mary Nzuki amekili kutokea kwa
tukio hilo ambapo
↧