Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete jana, Ijumaa, Januari 16, 2015, amekutana na kufanya mazungumzo na
wajumbe wa Kamati Maalum Inayojitegemea Iliyofanya Tathmini ya
Utekelezaji wa Mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).
Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam, Rais
Kikwete amewashukuru wajumbe wa Kamati Maalum Inayojitegemea
↧