MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Kazi imewataka wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) kurudi kazini, huku ikiagiza mamlaka hiyo kutowakata fedha wafanyakazi hao katika kipindi chote cha mgomo.
Licha ya Mahakama hiyo kutoa huku ya kuwataka kurudi kazini, wafanyakazi hao wamesema hawatarudi kazini mpaka watakapolipwa mishahara yao yote pamoja na kuonana na Waziri wa
↧