Binti Mrembo Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’
amesema katika maisha yake ya sanaa hataweza kufanya kazi nyingine mbali
na kuigiza kama ambavyo wasanii wengine wanafanya.
Akiongea na mwandishi wetu, Lulu alisema, amegundua kuwa kila
kitu kinatakiwa kifanywe kama kazi na yeye atakuwa akifanya kazi yake ya
kuigiza tu na si vinginevyo.
“Napenda kuwa msanii na
↧