Abiria wa Basi la Champion Afariki Dunia Akiwa Safarini
MKAZI wa Dodoma, Ramadhan Zuber ambaye alikuwa abiria kwenye basi la Champion amefariki dunia akiwa safarini. Akizungumza na Mpekuzi mjini Kibaha, Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Ulrich Matei...
View ArticleMajambazi Yavamia Duka la M-Pesa na Kupora Milioni 45
MAJAMBAZI watano wakiwa na silaha za moto na mapanga wamevamia duka la fedha la Mji mdogo wa Sirari na kupora Sh milioni 45 za Kitanzania na fedha za Kenya elfu 50. Katika hekaheka hizo majambazi...
View ArticleJokate Amzawadia KANDAMBILI Wema Sepetu
Mbunifu wa mavazi na mtangazaji Bongo, Jokate Mwegelo amesababisha shosti yake, Wema Sepetu ‘Madam’ afurahi baada ya kumpelekea zawadi ya kandambili zake za Kidoti pamoja na vipodozi mbalimbali....
View ArticleUkawa: Muhongo, Werema, Tibaijuka wafikishwe kortini
Wakati maazimio nane yaliyotolewa na Bunge kwenye mkutano wa 16 na 17 mwishoni mwa mwaka jana kuhusiana na kashfa ya uchotwaji fedha zaidi ya Sh. Bilioni 300 za akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa...
View ArticleWanafunzi 48 wasichana wa shule ya sekondari ya Muungano wanusurika Kufa...
Wanafunzi 48 wasichana wa kidato cha kwanza wa shule ya sekondari ya vipaji maalum ya Muungano wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wamenusurika kifo baada ya bweni lao kuteketea kwa moto na vifaa vyao...
View ArticleCCM Yakerwa na Viongozi wasiopenda Kujiuzulu
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amewaagiza viongozi wa chama hicho kujenga tabia ya uadilifu katika kutekeleza majukumu yao ya kazi. Aliyasema hayo wakati akizungumza...
View ArticleSakata la Escrow: Chenge, Tibaijuka, Ngeleja kikaangoni leo
KAMATI Ndogo ya Maadili ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), chini ya Mwenyekiti wake Philip Mangula, leo inawahoji makada wa chama hicho waliopokea mgawo wa fedha za Escrow. Makada ambao watawekwa...
View ArticleWastara: Bongo Movie Imeingiliwa na Mapepo, wasanii tupige magoti tusali
Msanii anayefanya vizuri kunako kiwanda cha filamu Bongo, Wastara Juma amefunguka kwamba tasnia ya filamu kwa sasa inaonekana kama imeingiliwa na pepo mbaya kutokana na mambo kwenda ndivyo sivyo kila...
View ArticleMvua Kubwa Kulitikisa jiji la Dar es Salaam....Mikoa mingine yatajwa,...
MAMLAKA ya hali ya hewa nchini (TMA), imewataka wananchi kuchukua tahadhari kutokana na mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha katika maeneo ya Ukanda wa Pwani. Taarifa iliyotolewa Dar es Salaam jana na...
View ArticleIrene Uwoya anataka Watanzania wamwambie ni Kitu Gani Wanakipenda Kwenye...
Mwigizaji Irene Uwoya, hivi juzi aliwauliza swali followers wake kwenye mtandao wa INSTAGRAM, kuwa kitu gani wanapenda kwenye mwili wake, mara baada ya kuweka picha yake hiyo hapo juu. Swali...
View ArticleTunataka Rais Ajaye Awe na Hofu ya Mungu
Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, amewataka Watanzania kuhakikisha rais watakayemchagua katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, lazima awe na hofu ya Mungu. Dk. Bilal, alitoa kauli hiyo mjini...
View ArticleJeshi la polisi ladhibiti wananchi waliotaka kuiba mafuta baada ya lori...
Jeshi la polisi mkoa wa Morogoro limefanikiwa kudhibiti wanachi waliobeba madumu wakitaka kuiba mafuta baada ya lori la mafuta kuanguna katika eneo la Mikese mkoani Morogoro. Dereva wa lori Deogras...
View ArticleMajambazi yateka mabasi 6 jijini Arusha....Abiria Wavuliwa nguo na kuporwa,...
WATU zaidi ya 40 wanaodhaniwa kuwa majambazi, wameteka mabasi sita ya abiria yanayofanya safari kati ya Jiji la Arusha na Nairobi, Kenya na kupora mali na fedha ambavyo thamani yake haijafahamika....
View ArticleRushwa ya Ngono isiwe kigezo cha Uongozi-Bavicha
WANAWAKE wa (CHADEMA), Arusha,wametakiwa kujitokeza kwa wingi, kugombea nafasi mbalimbali za uongozi bila woga katika uchaguzi mkuu ujao na kuonywa kujiingiza katika kashfa za kutembea na viongozi wao...
View ArticleJWTZ yafanikiwa kupunguza dhoruba Mtwara
Wanajeshi zaidi ya 300 wa Jeshi la wananchi wa Tanzania, wamefanikiwa kudhibiti sehemu ya ardhi iliyobaki isiendelee kumezwa na maji ya bahari kwa kutumia mawe na vifusi vya mchanga katika eneo la...
View ArticleWapiganaji wa Taifa la Kiislam (ISIS) Wadai Fidia ya Dola Milioni 200...
Video ikiwaonyesha mateka wa Kijapan, Kenji Goto Jogo na Haruma Yukawa, walio katika nguo za rangi ya chungwa, wakiwa na Jihadi John anayedai fidia ya Dola milioni 200 ili kuwaachia mateka hao. Waziri...
View ArticleAunty Ezekiel Achukizwa na Uamuzi wa Mzee Majuto
Wakati mkongwe wa filamu za kuchekesha, King Majuto akidai kutoshiriki kazi na msanii yeyote kutokana na kuibiwa, msanii mwenzake, Aunty Ezekiel amechukizwa na uamuzi huo. Akizungumza na Uwazi,...
View ArticleWaziri Awaomba Radhi Wanafunzi Waliopigwa Mabomu ya Machozi Kenya
Waziri wa Usalama nchini Kenya Joseph Nkaissery amewaomba radhi wanafunzi wa shule ya msingi waliofyatuliwa gesi ya kutoa machozi wakati walipokuwa wakiandamana kupinga kunyanga'anywa kipande cha...
View ArticleWalioteka Mabasi 6 jijini Arusha na Kuwadhalilisha Abiria Wakamatwa na Jeshi...
JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha limewatia mbaroni watu kadhaa kwa kuhusishwa na tukio la ujambazi wa kuteka mabasi sita ya abiria yaliyokuwa yanatoka nchini Kenya kuelekea jijini Arusha. Akizungumza...
View ArticleWanachama, Viongozi wa chama kipya cha ACT Watwangana Ngumi ndani ya Ofisi ya...
Vurugu zimetokea jana kwenye ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini baada ya makundi yanayopingana ndani ya Chama cha ACT-Tanzania kukutana ana kwa ana katika ofisi hiyo kwa ajili ya kikao cha...
View Article