Baada ya danadana nyingi, Wananchi waamua kumwapisha Mwenyekiti wao wa Mtaa
Baada ya subira ya wiki mbili ili wenyeviti na wajumbe Mtaa wa Migombani – Segerea, Dar es Salaam waapishwe na mamlaka husika bila mafanikio, wananchi wameamua kuwaapisha viongozi hao kwa kutumia...
View ArticleMali za Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni Komba zatangazwa kupigwa Mnada...
Mali za Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba zimetangazwa kupigwa mnada kutokana na kushindwa kulipa deni analodaiwa na Benki ya CRDB. Mali hizo zinahusisha eneo lenye ukubwa wa mita za...
View ArticleMwanamke hana jeuri ya kumkatalia mpenzi wake kupiga picha za Uchi- Juliana...
Muimbaji wa Uganda, Juliana Kanyomozi amefunguka kwa urefu kuhusiana na masuala mbalimbali kwenye mahojiano aliyofanyiwa na mtandao wa SatisfashionUG. Miongoni mwa mambo aliyohojiwa ni pamoja na...
View ArticleAmber Rose Atupia Picha zake za Nusu Uchi Mtandaoni
Mwanamitindo Amber Rose ameamua kutupia picha nyingine zinazoonyesha sehemu ya mwili wake katika mtandao wa Instagram. Amber ametupia picha hizo ikiwa ni siku moja tangu aweke picha zeke nyingine...
View ArticlePicha za UTUPU za Msanii maarufu Kenya, Risper Faith zasambaa
Picha chafu za mwanadada maarufu nchini Kenya, Risper Faith zimevuja na kusambaa kwa kasi katika mitandao maarufu ya Kenya na Uganda. Picha hizo ambazo zinadaiwa kusambazwa na...
View Article[ VIDEO ] : Diamond na mpenzi wake Zari wakifanya Yao FARAGHA huku...
Nani alidhania kuwa Diamond ni shabiki wa wimbo wa Mr Blue ‘Pesa’? Apparently staa huyo ni shabiki wa ngoma hiyo iliyomrejesha vyema mfalme wa Mapozi nchini. Katika video ambayo Mama Kijacho Zari...
View ArticleKuwa Staa Raha Sana: Diamond Katumiwa Video ya Nusu Uchi na Mrembo wa Kenya...
Unaukumbuka Wimbo wa Diamond Platnumz alioimba "Ntampata wapi ??""...Unaambiwa mabinti kibao wameanza kujigonga kwake kutokana na wimbo huo. Mrembo na Mwanamitindo anayeitwa Tiara ,...
View ArticleMazungumzo ya amani Sudani Kusini yafanyika Arusha
Wakuu wa nchi za Tanzania, Kenya na Uganda wamekutana jijini Arusha na viongozi wa nchi za Sudan na Sudani Kusini zinazokabiliwa na mapigano ikiwa ni sehemu ya jitihada za...
View ArticleHali bado tete kwa wafugaji Morogoro
Hofu imeendelea kutanda kwa wafungaji mkoani Morogoro kufuatia bodaboda kuendelea kuwavamia na kuwapora wafugaji kila wanapoonekana katika mji wa Morogoro kwa madai ya kulipiza kisasi baada ya mkulima...
View ArticleKinana apokelewa kwa mabango jimbo la Uzini
Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi CCM Abdulrahaman Kinana amepokewa kwa mabango na wananchi wa kijiji cha Miwani jimbo la uzini wilaya ya kati mkoa wa Kunisi Unguja Zanzibar wakimuomba kuwatatulia...
View ArticleKampuni ya Simu ya TTCL Yafilisika
KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imetangazwa kufilisika, kutokana na kutokuwa na mtaji baada ya mwekezaji, Kampuni ya simu za mkononi ya Bharti Airtel, kushindwa kuwekeza kwa miaka 14. Kutokana na...
View ArticleMshindi wa mtoko wa mbugani kwenye promosheni ya Tutoke na Serengeti Apatikana
Mshindi wa mtoko wa mbugani kwenye promosheni ya Tutoke na Serengeti Bw. Deogratius Peter Bongole (24) kutoka Rombo mkoani Kilimanjaro akiwa anapewa maelekezo kuhusu safari yake ya kwenda Mbuga ya...
View ArticleZitto Kabwe Ajibu tuhuma za IKULU, Akiri Rais Kikwete amekwisha futa Misamaha...
KAMATI ya Bunge ya Kudumu ya Hesabu za Serikali (PAC), imekiri kuwa hadi sasa Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) ipo, lakini pamoja na kusainiwa na Rais bado haijaanza kutekelezwa jambo...
View ArticleKamati Kuu ya CHADEMA kukutana leo
KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), inakutana leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadili mambo mbalimbali likiwemo suala la Uchaguzi Mkuu baadaye, mwaka huu. Mambo mengine...
View ArticleMwanafunzi wa Mwaka wa Pili katika Chuo cha Ualimu Rukwa Auawa Kinyama
Mwanafunzi wa ualimu aliyekuwa anasoma mwaka wa Pili katika Chuo cha Ualimu Rukwa, Manispaa ya Sumbawanga, Zakayo Anosisye (25) ameuawa na watu wasiofahamika. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa , Jacob...
View ArticlePicha: Zari anavyokodolea macho simu ya Diamond kama Beyonce kwa Jay Z.
Wapenzi Diamond na Zari wamekuwa wakifananishwa na couple tofauti za mastaa duniani kwa picha na pozi tofauti. Kupitia instagram yake Zari amejifananisha na Beyonce kwa jinsi anavyofuatilia shughuli...
View ArticlePicha: Vanessa Mdee na Jux wakila bata Zanzibar ndani ya Vazi la "Nusu Utupu"
Bongo fleva ilitawala Zanzibar ‘Ngome Kongwe’ 17 Jan kwenye usiku wa show kali Jux, Vanessa Mdee, Navy Kenzo ‘Nahreel na Aika’ ambayo ilifunguliwa na Baby J na Mirrro. Baada ya show, Jux na V Money...
View ArticleVikongwe Wapigana Mabusu Hadharani....!!!
Mohamed Khalfan ambaye ni kikongwe wa miaka 78 mwenye ulemavu wa ukoma na mkewe, Habiba Shomari (68) hivi karibuni waliwashangaza watu baada ya kuamua kumwagiana mabusu hadharani. Tukio hilo lilijiri...
View Article"Bora niwe Fundi Nguo ili Niwaepuke ‘Masnichi’ Waliopo Bongo Movie"- Wolper
Staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper Masawe ‘Wolper’ ameamua kuanika ukweli kuwa sasa hivi anataka kuwa fundi wa kushona nguo ili kuepukana na ‘masnichi’ waliopo kwenye tasnia ya uigizaji....
View ArticleShindano la Nani Mkali: Jokate Amfunika Lulu Michael
Mwanamitindo na dairekta wa lebo ya Kidoti, Jokate Mwegelo amekuwa tishio kwa msanii wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa urembo na muonekano katika picha zinazoonekana mitandaoni...
View Article