Mwanamitindo na dairekta wa lebo ya Kidoti, Jokate
Mwegelo amekuwa tishio kwa msanii wa filamu za Kibongo, Elizabeth
Michael ‘Lulu’ kwa urembo na muonekano katika picha zinazoonekana
mitandaoni nchini.
Mtandao mmoja wa hapa nchini umeendesha zoezi la kuweka picha zao
kali zinazowaonesha wote wawili wakiwa na muonekano na picha kali huku
wakiuliza nani zaidi ya mwenzake.
↧