Baada ya subira ya wiki mbili ili wenyeviti na wajumbe Mtaa wa
Migombani – Segerea, Dar es Salaam waapishwe na mamlaka husika bila
mafanikio, wananchi wameamua kuwaapisha viongozi hao kwa kutumia wakili
binafsi.
Wakati hali hiyo ikitokea Dar es Salaam, wilayani Rombo mkoani
Kilimanjaro baadhi ya wenyeviti wa vijiji walioshindwa wamekataa
kuwaachia ofisi viongozi wapya wakidai kuwa
↧