Unaukumbuka Wimbo wa Diamond Platnumz alioimba "Ntampata wapi ??""...Unaambiwa mabinti kibao wameanza kujigonga kwake kutokana na wimbo huo.
Mrembo na Mwanamitindo anayeitwa Tiara , Mwenye Umri wa Miaka 23 toka nchini Kenya amemtaka Diamond aende nchini Kenya kumchukua tena bila malipo yoyote....
Tiara amedai yeye ana vigezo vyote anavyovitaka Diamond Platnumz.
↧