Nani alidhania kuwa Diamond ni shabiki wa wimbo wa Mr Blue ‘Pesa’? Apparently staa huyo ni shabiki wa ngoma hiyo iliyomrejesha vyema mfalme wa Mapozi nchini.
Katika video ambayo Mama Kijacho Zari Tlale amepost kwenye ukurasa wake wa Instagram wakiwa faragha, Diamond anaonekana akifurahia kufuatiliza wimbo huo na kulipachika pia jina la Zari kwenye mstari alioungeza mwenyewe.
“Niko busy
↧